Current version: 1.2.5, last update: 5 months ago
First release : 17 Nov 2020
App size: 25.34 Mb
APP Yetu ya NUFAIKA NA GOODWILL imelenga hasa kumsaidia Fundi Kupata Zawadi Mara tu anunuapo vigae vyetu kupitia kwa mawakala Wetu au Moja kwa Moja kwenye Kituo chetu cha usambazaji.